Rekodi, changanua na pata mahesabu ya SACCOS kidigitali

Angalia Demo

SACCO Software

Je Unajua?

Sacco software inaiwezesha saccos kufanya kazi kidigitali zaidi kwa kuautomate shughuli zote za saccos. Kuanzia uandikishaji wa wanachama, upokeaji na utunzaji wa malipo na pia uombaji wa mikopo.

Mkopo popote?

Sacco software inamuwezesha mwanachama kuomba mkopo akiwa nyumbani au popote na muda wowote. Mfumo utamsaidia mwanachama kujua kama anakopesheka au hakopesheki. Na pia atapata kikokotoo cha mkopo bure kabisa

Vipengele vya SACCO

Mkopo popote

Mwanachama anaomba mkopo yeye mwenyewe kwenye account yake popote alipo kwa kutumia simu or computer.

Hisa na akiba mkononi

Mwanachama anaona kila kitu chake kwenye account yake. Akiba, hisa, mikopo dhamana na wadhamin yoote anayaoona mda wowote.

Inaandaa repoti za chama

SACCO inaandaa repoti zote za mahesabu ya chama kwa kufuata sheria mama za ushirika COASCO.

Repoti za mapato na matumizi, mabadiiko ya mtaji, mtiririko wa fedha na hali ya fedha. Pia trial balance na ledgers zipo

Inaandaa makato ya wanachama

SACCO itakuandalia makato ya kila mwanachama kila mwisho wa mwezi

Mwanachama

Balance Popote

Ukiingia tu utaona balance ya michango yako yote

Mkopo popote

Omba mkopo na kudhaminiwa popote ulipo

Inawapa realtime analysis and reporting

SaccosSoftware inaandaa report zote muhimu za chama muda wowote zinapohitajika. Report za mwaka na za kila quarter kwenye mikopo, pato la chama na uwekezaji wa chama

Report zote zimefuata kanuni za COASCO

Jaribu ujionee

Ili kujua namna mnavo weza kudigitaizi saccos yenu jiandikishe na kisha ujionee.

>

SACCO

Tunarahisisha na kudegitize saccos and microfinances

Makulumula St,Mikumi, Magomeni, Kinondoni
Dar es Salaam, Box 80724

sacco@mifumotz.com

+255 752 350 620